Mario Balotelli ameanza vizuri katika klabu yake mpya, Nice baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Marseille, moja la penalti kwenye mchezo wa Ligue 1 Ufaransa Uwanja wa Allianz Riviera. Bao lingine la Nice lilifungwa na Wylan Cyprien wakati mabao ya Marseille yalifungwa na Florian Thauvin na Bafetimbi Gomis kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
ICE launches extraordinary breach accusations against Padres coach after
his emotional family branded detention 'unjust'
-
A San Diego Padres minor league coach remains in ICE detention as federal
authorities claim he 'overstayed his welcome' in the United States by eight
years.
34 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment