Mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya 30 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Granada kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Los Carmenes. Bao lingine la Real lilifungwa na Luka Modric dakika ya 85, wakati la wenyeji limefungwa na Youssef El-Arabi dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Costco at $1,000: A Timeless Business, Is the Stock Still a Buy or a Bubble?
-
Costco Bulls Are Eyeing a Massive Dividend Surprise After $1,000 Breakout
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment