• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 25, 2016

  YANGA SC NA JKT MLALE KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Winga wa Yanga SC, Godfrey Mwashiuya akimtoka beki wa JKT Mlale katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) hatua ya 16 Bora jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1
  Kiungo wa Yanga SC, Salum Telela akimtoka beki wa JKT Mlale
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Paul Nonga akimtoka beki wa JKT Mlale
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Malimi Busungu akiwatoka wachezaji wa JKT Mlale
  Kikosi cha JKT Mlale jana Uwanja wa Taifa
  Kikosi cha Yanga SC jana Uwanja wa Taifa

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC NA JKT MLALE KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top