• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 20, 2016

  MULE MULE NA TOTOO ZE BINGWA WALIVYOTAMBULISHWA LEO BMM BAND

  Muimbaji wa bendi mpya ya muziki wa dansi ya BMM, Totoo ze Bingwa (kushoto) akielezea mikakati ya ujio wa bendi hiyo itakayozinduliwa Ijumaa jijini Dar es Salaam. Kulia ni kiongozi wa BMM, Mule Mule.

  Mwanamuziki wa bendi ya BMM, Totoo ze Bingwa (kulia) akielezea maandalizi ya uzinduzi wa bendi hiyo mpya utakaofanyika Ijumaa ijayo kwenye ukumbi wa Milleniaum Tower, jijini Dar es Salaam.
  Mmiliki wa bendi mpya ya BMM, Deus Macha (kulia) akizungumzia mikakati ya ujio wa bendi hiyo. Wengine ni wanamuziki wa BMM, Totoo ze Bingwa (kushoto) na Mule Mule.

  Waandishi wa habari za michezo na burudani nchini, Saada Salim wa Dimba (kushoto) na Somoe Ng'itu wakifuatilia kwa makini mkutano wa bendi mpya ya BMM ambayo itazinduliwa Ijumaa Februari 26 mwaka huu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MULE MULE NA TOTOO ZE BINGWA WALIVYOTAMBULISHWA LEO BMM BAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top