• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 25, 2016

  PRISONS NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA UWANJA WA SOKOINE

  Kiungo wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akimlamba chenga beki wa Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Timu hizo zilitoka 0-0 PICHA NA DAVID NYEMBE, MBEYA
  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akipambana na beki wa Prisons
  Messi wa Azam FC kulia akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Prisons
  Kipre Tchetche wa Azam FC akiwania mpira dhidi ya wachezaji wa Prisons
  Kikosi cha Prisons jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya
  Kikosi cha Azam FC jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PRISONS NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA UWANJA WA SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top