Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kuongoza dakika ya 33 katika sare ya 1-1 na wenyeji Malaga leo Uwanja wa La Rosaledan katika mchezo wa La Liga. Bao la Malaga limefungwa na Raul Albentosa dakika ya 66, wakati Ronaldo alikosa penalti katika mchezo huo ni kuinyima Real ushindi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment