• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 24, 2016

  USIPOMUHESHIMU KWA LILE KING KIBADEN, BASI MUHESIMU KWA HILI!

  Makocha wa Simba SC wakati wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mwaka 1993, timu hiyo ikifika fainali na kuweka rekodi ya timu pekee ya kuwahi kucheza fainali ya Kombe la Afrika; Alhaj Abdallah Athumani Seif 'King Kibaden' (katikati), Msaidizi wake, Etenneh Eshete (kulia) na Daktari Msemakweli (kushoto). Kibaden pia ana rekodi ya kufunga mabao matatu peke yake katika mechi dhidi mahasimu Yanga, SImba ikishinda 6-0 Julai 19, mwaka 1977 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: USIPOMUHESHIMU KWA LILE KING KIBADEN, BASI MUHESIMU KWA HILI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top