• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 27, 2016

  KAVUMBANGU SASA 'FITI KABISA' KUIVAA YANGA MACHI 5 TAIFA

  Mshambuliaji aliyekuwa majeruhi kwa muda refu, Didier Kavumbangu (kulia) akipambana na beki Serge Wawa Pascal katika mazoezi ya Azam FC jana viwanja vya Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Kavumbangu anatarajiwa kuanza kucheza katika mechi dhidi ya Yanga Machi 5, mwaka huu Uwanja wa Taifa
  Kavumbangu kulia akiwania mpira ulio kwenye himaya ya Nahodha John Bocco
  Kavumbangu mbele kulia alifanya mazoezi kikamilifu jana
  Kavumbangu mbele kushoto akiruka na Khamis Mcha 'Vialli'
  Nahodha John Bocco akikokota mpira kwenye mazoezi hayo jana
  Makipa wa Azam FC, kutoka kulia Metacha Biniface, Aishi Manula na Ivo Mapunda wakifanya mazoezi jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KAVUMBANGU SASA 'FITI KABISA' KUIVAA YANGA MACHI 5 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top