• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 21, 2016

  MOGELLA WAWILI WALIOCHEZA PAMOJA SIMBA SC, KABLA YA KUHAMIA YANGA

  Nahodha wa Simba SC, mshambuliaji Zamoyoni Mogella (wa pili kulia) akimtambulisha mchezaji mwenzake, kiungo Method Mogella (kushoto), sasa marehemu kwa mgeni rasmi, Waziri Mkuu wa Tanzania, John Samuel Malecela kabla ya mechi ya klabu hiyo mwaka 1991 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mogella hao wote walicheza na Yanga pia baadaye.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MOGELLA WAWILI WALIOCHEZA PAMOJA SIMBA SC, KABLA YA KUHAMIA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top