• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 25, 2016

  MANCHESTER YANG'ARA ULAYA, YAICHAPA DYNAMO KIEV 3-1

  Kikosi cha Manchester City kilichoifunga mabao 3-1 Dynamo Kiev katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana mjini Kiev. Mabao ya City yalifungwa na Sergio-Aguero, David-Silva na Yaya Toure, wakati la Dynamo lilifungwa na Vitaliy Buyalskiy PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANCHESTER YANG'ARA ULAYA, YAICHAPA DYNAMO KIEV 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top