• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 23, 2016

  YANGA SC WALIVYOWAPASHIA MAAFANDE WA JKT MLALE LEO UWANJA WA KARUME

  Wachezaji wa Yanga SC wakifanya mazoezi leo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup kesho dhidi ya JKT Mlale Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Makochs wa Yanga, Mholanzi Hans van der Pluijm (kushoto) na Msaidizi wake, Juma Mwambusi (kulia)

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOWAPASHIA MAAFANDE WA JKT MLALE LEO UWANJA WA KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top