• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 21, 2016

  ADEBAYOR RAHA TUPU, PALACE YAITUPA NJE SPURS KOMBE LA FA ENGLAND

  Mshambuliaji wa Crystal Palace, Emmanuel Adebayor akimuacha chini kiungo wa timu yake ya zamani, Tottenham Hotspur, Mousa Dembele katika mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England leo Uwanja wa White Hart Lane. Palace imeshinda 1-0, bao pekee la Martin Kelly na sasa wanaingia Robo Fainali ya michuano hiyo ya Chama cha Soka England, huku safari ya Spurs ikiishia hapo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ADEBAYOR RAHA TUPU, PALACE YAITUPA NJE SPURS KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top