Gwiji wa Arsenal, Thierry Henry (wa pili kushoto) akiwa na wachezaji wa timu yake ya zamani, Barcelona Luis Suarez (kushoto), Lionel Messi na Neymar kulia kwake walipokutana London jana. Barcelona ipo London kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Arsenal usiku wa leo Uwanja wa Emirates PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment