• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 29, 2016

  HIVI NDIVYO SAMATTA ALIVYOMTUNGUA KIPA MFARANSA KUFUNGA BAO LAKE LA KWANZA ULAYA

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akimtungua kipa Mfaransa, Ludovic Butelle wa Club Brugge kuifungia timu yake, KRC Genk bao la tatu katika ushindi wa 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Ubelgiji Uwanja wa Cristal Arena mjini Genk jana
  Hilo lilikuwa bao la kwanza la Samatta tangu ajiunge na Genk Januari akitokea TP Mazembe ya DRC
  Samatta akimfuata Ruslan Malinovskiy (kushoto) aliyempa pasi kushangilia naye baada ya kufunga
  Samatta akishangilia na Malinovskiy baada ya kufungua akaunti yake ya mabao Ulaya
  TAZAMA VIDEO YA BAO LAKE  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HIVI NDIVYO SAMATTA ALIVYOMTUNGUA KIPA MFARANSA KUFUNGA BAO LAKE LA KWANZA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top