• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 20, 2016

  KUNUNA HUKU VEPEEE!!!

  Mashabiki wa Simba SC wakiwa wamenuna baada ya timu yao kufungwa mabao 2-0 na watani, Yanga SC jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
  Mashabiki wa Yanga wakifurahia ushindi wao leo Uwanja wa Taifa 
  Jukwaa lililosheheni mashabiki wa Simba SC leo Uwanja wa Taifa na chini ni mashabiki wa Yanga

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KUNUNA HUKU VEPEEE!!! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top