• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 29, 2016

  SIMBA SC NA SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Mshambuliaji wa Simba, Danny Lyanga akimtoka beki wa Singida United katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 5-1
  Danny Lyanga akiwatoka mabeki wa Singida United jana Uwanja wa Taifa
  Beki wa Simba, Emery Nimubona akimuacha chini beki wa Singida United baada ya kupanda kusaidia mashambulizi
  Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Singida
  Kikosi cha Simba katika mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
  Kikosi cha Sigida United katika mchezo wa jana Uwanja wa Taifa

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top