• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 21, 2016

  NI MAYWEATHER NA THIERRY HENRY PAMBANO LIFUATALO?

  Gwiji wa zamani wa Arsenal na Ufaransa, Thierry Henry akiwa na bondia wa kulipwa, Floyd Mayweather waliyekutana naye ukumbi wa Staples Center mjini Los Angeles, Marekani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Kikapu nchini humo, maarufu kama NBA kati ya San Antonio Spurs na LA Lakers PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NI MAYWEATHER NA THIERRY HENRY PAMBANO LIFUATALO? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top