• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 21, 2016

  AZAM FC NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA UWANJA WA SOKOINE

  Mshambuliaji wa Mbeya City, Haruna Moshi 'Boban' akimtoka beki wa Azam FC, Erasto Nyoni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Azam FC iliwafunga wenyeji wao hao 3-0
  Mfungaji wa bao la kwanza la Azam Fc, Kipre Tchetche (kushoto) akishangilia na kiungo wa timu hiyo, Ramadhani Singano 'Messi'
  Beki wa Mbeya City, Tumba Lui Swedi akiupitia mpira miguuni mwa winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi'
  Ramadhani Singano 'Messi' (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita Tumbi Luis Swedi
  Kikosi cha Mbeya City kilichobugizwa mabao 3-0 jana Uwanja wa Sokoine
  Kikosi cha Azam FC kilichowapa 3-0 Mbeya City jana Uwanja wa Sokoine

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA UWANJA WA SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top