• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 22, 2016

  MAKIPA WA NDANDA UTAWAJUA KWA 'VIDUKU' VYAO TU!

  Makipa wa Ndanda FC ya Mtwara, Jackson Chove (kulia) aliyewahi kudakia pia Yanga na Azam na Willy Mweta (kushoto) aliyewahi kudakia Simba na Toto Africans wakifanya mazoezi kabla ya mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya African Sports jana Uwanja wa nangwanda Sijaona, Mtwara. Ndanda walishinda 2-1

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAKIPA WA NDANDA UTAWAJUA KWA 'VIDUKU' VYAO TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top