• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 22, 2016

  AZAM FC WALIVYOJIFUA UWANJA WA SOKOINE LEO KABLA YA KUWAVAA 'WAJELAJELA' JUMATANO

  Wachezaji wa Azam FC, wakifanya mazoezi Uwanja wa Sokoine mjini Mbwya jioni ya leo, kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Prisons kwenye Uwanja huo huo keshokutwa  PICHA NA DAVID NYEMBE
  Azam FC waliingia Uwanja wa Sokoine muda mfupi tu baada ya wenyeji wao, Prisons kumaliza kufanya mazoezi yao
  Azam FC leo walifanya mazoezi mepesi tu kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOJIFUA UWANJA WA SOKOINE LEO KABLA YA KUWAVAA 'WAJELAJELA' JUMATANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top