• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 28, 2016

  TENGA 'MTU WA BATA' KITAMBO TU TANGU ANAPIGA KITABU UD

  Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga (kushoto) akifurahia na rafiki zake enzi zake anasoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) miaka ya 1980. Huo ni wakati ambao alikuwa anamalizia soka yake katika klabu ya Pan Africans, baada ya kuwika Yanga SC kuanzia miaka ya 1970. Tenga alikuwa pia Nahodha na beki tegemeo wa kati wa timu ya taifa wakati wake anacheza  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TENGA 'MTU WA BATA' KITAMBO TU TANGU ANAPIGA KITABU UD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top