• HABARI MPYA

    Saturday, February 27, 2016

    ATLETICO YAIKALISHA REAL MADRID BERNABEU, 1-0 LA LIGA

    Kiungo wa Real Madrid, Isco (kushoto) akimpelekea mguu mshambuliaji wa mahasimu, Atletico Madrid, Fernando Torres katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. Atletico imeshinda 1-0, bao pekee la Antoine Griezmann dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ATLETICO YAIKALISHA REAL MADRID BERNABEU, 1-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top