![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman kushoto akichuana na beki wa Ndanda FC, Ernest Mwakupani kulia |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akiwatoka wachezajii wa Ndanda FC, Zablon Raymond kushoto na Jacob Massawe kulia |
![]() |
| Beki wa Yanga SC, Oscar Joshua kuklia akimtoka mchezaji wa Ndanda FC, Jacob Massawe |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Danny Mrwanda akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Ndanda, Ersnet Mwalupani kulia |
![]() |
| Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Ndanda FC |
![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe akimiliki moira
|









.png)
0 comments:
Post a Comment