• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 24, 2015

  STAND NA SIMBA ZAINGIZA MIL 31, MBEYA CITY NA YANGA MILIONI 74

  Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM
  MCHEZO uliokuwatanisha wenyeji timu ya Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga dhidi ya timu ya Simba umeingiza jumla ya tsh. milioni 31.
  Juma la watazamaji 5,439 waliingia uwanjani kushuhudia mchezo huo, ambao timu ya Stand imepata mgao wa tsh. 6,564,268.22 na Simba wakipata mgao wa tsh. 4,661,581.78.
  VAT (18%) tshs. 4,763,135.59 huku FA  mkoa wakipata tsh.665,940.25, FDF tsh. 1,141,611.86, Bodi ya Ligi tsh. 1,522,149.15, Gharama za mchezo tsh. 1,617,283.47, Uwanja tsh. 2,854,029.66, Gharama ya tiketi tsh.
  Stand United iliifunga Simba SC 1-0
  1,593,000,00, FDF tsh. 2,921,000.00, TFF tsh.2,921,000.00

  Katika uwanja wa Sokoine mbeya jumla ya tsh. 74,600.000.00, zilipatikana kutokana na watazamaji 14,920 waliokata tiketi kushuhudia mchezo huo,  VAT(18%) tsh.11,379,661.02, CDRB (5%) tsh.3,730.000.00, FDF tsh. 5,222,000,00, TFF tsh. 2,238,000.00, Uwanja tsh. 7,804,550,85, Gharama za mchezo tsh 4,442,578.81, Bodi ya Ligi tsh. 4,162,427,12.
  Chama cha soka mkoa (FA) Mbeya kimepata tsh. 1,821,061.86, FDF(TFF) tsh. 3,121,820.34, wenyeji timu ya Mbeya city wakipata tsh. 17,950,466.95 na klabu ya Yanga tsh. 12,747,438.98.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STAND NA SIMBA ZAINGIZA MIL 31, MBEYA CITY NA YANGA MILIONI 74 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top