• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 23, 2015

  HANS POPPE ALIINGIA KIBABE JANA KAMBARAGE, LAKINI BAADA YA MECHI 'ALITAFUTWA KAMA SINDANO'


  Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (kulia) akiwaongoza wenzake kuingia Uwanja wa Kambarage, Shinyanga jana kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Stand United. Stand ilishinda 1-0 na baada ya mechi kamera ya BIN ZUBEIRY Uwanja wa Kambarage ilimtafuta bila mafanikio Hans Poppe, haikujulikana alitokea wapi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HANS POPPE ALIINGIA KIBABE JANA KAMBARAGE, LAKINI BAADA YA MECHI 'ALITAFUTWA KAMA SINDANO' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top