• HABARI MPYA

    Friday, February 27, 2015

    MCHEZAJI WA CHELSEA AIADHIBU SPURS NA KUITUPA NJE ULAYA

    Former Basle forward Salah was booked after taking his shirt off in celebration of his goal on Thursday
    Mshambuliaji wa Chelsea, Mohammed Salah anayecheza kwa mkopo Fiorentina ya Italia, akishangilia baada ya kuifungia timu yake ya mkopo bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Totenham Hotspur usiku nchini Italia katika mchezo wa Europa League. Bao la kwanza la Fiorentina lilifungwa na mshambuliaji wa zamani wa Bayern Munich, Mario Gomez na hivyo wameitoa Spurs kwa jumla ya mabao 3-1, baada ya sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2970805/Fiorentina-2-0-Tottenham-Mohamed-Salah-Mario-Gomez-send-Spurs-crashing-Europa-League.html#ixzz3StVhZf00 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MCHEZAJI WA CHELSEA AIADHIBU SPURS NA KUITUPA NJE ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top