• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 22, 2015

  MWADUI WABEBA UBINGWA DARAJA LA KWANZA, SPORTS CHALI CHAMAZI

  Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kushoto) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara, Nahodha wa Mwadui ya Shinyanga, Athumani Iddi 'Chuji' kulia leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kufuatia ushindi wa 1-0, bao pekee la Kelvin Sabato dakika ya 81 leo dhidi African Sports ya Tanga katika fainali ya michuano hiyo iliyowahusisha vinara wa makundi A (Mwadui) na B (Sports). Mwadui, Sports kwa pamoja na Majimaji ya Songea na Toto Africans ya Mwanza zimepanda Ligi Kuu. 
  Juma Mnyasa wa Mwadui (kushoto) akipambana na wa African Sports, Ayoub Masoud


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWADUI WABEBA UBINGWA DARAJA LA KWANZA, SPORTS CHALI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top