• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 22, 2015

  LIVERPOOL YAICHARAZA 2-0 SOUTHAMPTON ST MARY'S  Mshambuliaji wa Liverpool, Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Southampton Uwanja wa St Mary's. Bao lingine la Liverpool katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya England lilifungwa na Phillipe Coutinho.

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2964053/Southampton-0-2-Liverpool-Philippe-Coutinho-Raheem-Sterling-strike-Reds-beat-Saints-close-four.html#ixzz3SVXilzZ2 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHARAZA 2-0 SOUTHAMPTON ST MARY'S Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top