• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 27, 2015

  WAZIRI WA KIKWETE ATUA SUDAN KUIPA ULINZI AZAM FC

  Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Vijana na Michezo, Alhaj Juma Nkamia (kushoto) akizungumza na wachezaji wa Azam  FC mazoezini Uwanja wa Jeshi mjini Khartoum, Sudan usiku wa jana. Anayezungumza naye kulia ni mshambuliaji Mrundi, Didier Kavumbangu. Azam FC watacheza na wenyeji El Merreikh kesho mchezo wa marudiano Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika. Mechi ya kwanza, Azam FC ilishinda 2-0 Dar es Salaam.
  Wachezaji wa Azam FC wakifanya mazoezi mepesi Sudan jana
  Kocha wa makipa, Iddi Abubakar kulia na vijana wake wakifanya dua
  Wachezaji wa Azam FC wakiteremka kwenye basi wanalotumia mjini Khartoum ambalo wanajilipia wenyewe baada ya kukataa basi walilopewa na wenyeji wao

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAZIRI WA KIKWETE ATUA SUDAN KUIPA ULINZI AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top