• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 22, 2015

  SIMBA SC YALAMBWA 1-0 SHINYANGA

  Bao pekee la Mnigeria, Abaslim Chidiabele dakika ya 11 limeipa Stand United ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba SC jioni hii Uwanja wa Kambarage, Shinyanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.  Picha ya kikosi cha Simba SC leo na ya chini kikosi cha Stand United Uwanja wa Kambarage.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC YALAMBWA 1-0 SHINYANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top