• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 28, 2015

  KAPTENI JOHN KOMBA ALIYEIMBA 'MGENI' AFARIKI DUNIA

  MBUNGE wa Mbinga Magharibi na mkurugenzi wa Tanzania One Theatre (TOT) Kapten John Komba amefariki dunia muda huu.
  Katibu mipango wa TOT, Gasper Tumaini ameithibitishia BIN ZUBEIRY jioni hii kwamba, Komba amefari na taarifa zaidi zitatoka hapo baadaye.
  Kwa muda mrefu tangu amestaafu jeshi, Komba amekuwa Mkurugenzi wa kikundi cha sanaa cha Chama cha Mapinduzi (CCM), kiitwacho TOT na miaka ya karibuni amekuwa akitamba na wimbo Mgeni, unahusu ugonjwa hatari wa Ukimwi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KAPTENI JOHN KOMBA ALIYEIMBA 'MGENI' AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top