• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 26, 2015

  AZAM FC KATIKA HIMAYA YA JESHI SUDAN KWA AMANI KABISA

  Mabeki wa Azam FC, Serge Wawa Pascal (kushoto) na Said Mourad (kulia) wakijiandaa kwa mazoezi jana Uwanja wa jeshi nchini Sudan. Azam FC waliwasili usiku wa kuamkia jana mjini Khartoum, Sudan kwa ajili ya mchezo wa marudiao Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, El Merreikh mwishoni mwa wiki.
  Wachezaji wa Azam wakijiandaa kwa mazoezi jana

  Makocha wa Azam FC kutoka kushoto, George 'Best' Nsimbe (Msaidizi), Joseph Marius Omog (Mkuu), Ibrahim Shikanda (Msaidizi wa pili) na Iddi Abubakar wa makipa wakiwa katika kikao

  Wachezaji wakifanya mazoezi mepesi Uwanja wa Jeshi

  Beki tegemeo la timu, Aggrey Morris akijiandaa

  Wachezaji wanaaonekana wapo katika hali nzuri kuelekea mchezo huo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC KATIKA HIMAYA YA JESHI SUDAN KWA AMANI KABISA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top