• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 26, 2015

  YANGA SC WALIVYOUJARIBU UWANJA AMBAO KESHO WATAWANIA TIKETI YA KUSONGA MBELE AFRIKA

  Wachezaji wa Yanga SC wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Lobatse nchini Botswana jioni ya leo ambao utatumika kwa ajili ya mechi ya kesho ya marudiano Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho la Afrika (CAF) dhidi ya wenyeji BDF XI. Yanga SC ilishinda 2-0 katika mchezo wa kwanza wiki iliyopita Dar es Salaam na kesho itahitaji hata sare kusonga mbele.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOUJARIBU UWANJA AMBAO KESHO WATAWANIA TIKETI YA KUSONGA MBELE AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top