• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 27, 2015

  VIGOGO YANGA SC WAZIDI KUMIMINIKA GABORONE

  Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mussa Katabaro akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam alfajiri ya leo tayari kwa safari ya Gaborone, Botswana kwenda kushuhudia timu yake ikimenyana na wenyeji BDF XI katika mchezo wa marudiano Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga ilishinda 2-0 katika mchezo wa kwanza.
  Katabaro akikaguliwa tiketi na hati ya kusafiria ili kuingia ndani JNIA. Tayari viongozi kadhaa wa klabu hiyo, wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti, Clement Sanga wapo mjini humo.  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VIGOGO YANGA SC WAZIDI KUMIMINIKA GABORONE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top