• HABARI MPYA

    Saturday, October 04, 2014

    STAND WAGOMA KUINGIA VYUMBANI TAIFA DHIDI YA SIMBA SC, WADAI KUNA HEWA NZITO

    Wachezaji wa Stand United wakiwa wameketi kwenye kwenye chumba cha Waandishi wa Habari baada ya kugoma kuingia kwenye chumba chao walichotakiwa kufikia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo dhidi ya Simba SC, wakidai kuna hewa nzito.
    Chumba cheupe; Humu ndimo Stand United walitakiwa kuingia. Mchezo utaanza Saa 10:00. jioni hii.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STAND WAGOMA KUINGIA VYUMBANI TAIFA DHIDI YA SIMBA SC, WADAI KUNA HEWA NZITO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top