• HABARI MPYA

    Thursday, October 16, 2014

    NIYONZIMA ARUDI KWA KASI MBAYA, CHEKI ANAVYOMCHOMOKA NIZAR HAPA KAMA MSHALE!

    Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima ambaye jana aliumia enka, leo amerudi mazoezini kikamilifu kama anavyoonekana pichani akimtoka kwa kasi kiungo mwenzake, Nizar Khalfan Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam. Yanga SC inajiandaa na mechi dhidi ya watani wao, Simba SC Jumamosi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NIYONZIMA ARUDI KWA KASI MBAYA, CHEKI ANAVYOMCHOMOKA NIZAR HAPA KAMA MSHALE! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top