• HABARI MPYA

    Thursday, October 16, 2014

    KEVIN YONDAN YUKO FITI ASILIMIA 100, CHEKI ANAVYOMFUKUZA NGASSA KAMA MWIZI

    Beki wa Yanga SC, Kevin Yondan aliyekuwa majeruhi wiki yote hii, leo amefanya mazoezi kikamilifu kuelekea mchezo dhidi ya Simba SC Jumamosi, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Pichani Yondan kulia akimkimbiza mshambuliaji wa timu hiyo, Mrisho Ngassa katika mazoezi ya jioni Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KEVIN YONDAN YUKO FITI ASILIMIA 100, CHEKI ANAVYOMFUKUZA NGASSA KAMA MWIZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top