BARCELONA imeendeleza ubabe katika La Liga baada ya kuichapa Rayo Vallecano mabao 2-0 jana Uwanja wa Vallecas mjini Madrid, Hispania.
Lionel Messi alifunga bao la kwanza dakika ya 35- hilo likiwa bao la 249 kwa Muargentina huyo tangu aanze kuchezea Barcelona, akizidiwa mawili na Telmo Zarra anayeshikilia rekodi ya kuifungia mara nyingi zaidi klabu hiyo.
Rayo Vallecano ilipata pigo baada ya mchezaji wake, Jorge Morcillo kuonyeshwa kadi ya pili ya njano na kuwa nyekundu kipindi cha pili hivyo kuuacha mchezo huo ukiendelea. Neymar alifunga bao la pili dakika ya 36.

![]() |
Leonel Messi amefunga jana katika ushindi wa 2-0 |
0 comments:
Post a Comment