Wachezaji wa Manchester United wakifanya mazoezi makao makuu ya klabu hiyo, viwanja vya Carrington leo kujiandaa na mchezo dhidi ya Everton Jumapili Ligi Kuu ya England







Kocha Louis van Gaal akiwatazama wachezaji wake Wayne Rooney na Michael Carrick wakiganya mazoezi leo
Rooney na Robin van Persie
Van Persie akiwaongoza wenzake leo
Radamel Falcao, aliyeajiliwa siku ya mwisho kutoka Monaco
Darren Fletcher na Van Persie
0 comments:
Post a Comment