• HABARI MPYA

    Saturday, October 18, 2014

    MAN CITY YAILAZA 4-1 SPURS, AGUERO APIGA ZOTE MBILI ZA PENALTI

    MSHAMBULIAJI Sergio Aguero amefunga mabao yote manne Manchester City ikiichapa 4-1 Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo.
    Aguero alifunga bao la kwanza dakika ya 13, kabla ya Christian Eriksen kusawazisha mapema tu. Muargentina huyo akafunga tena dakika za 20 na 68 zote kwa penalti na lingine dakika ya 75 wakati pia alikosa penalti moja. 
    Manchester City: Hart, Sagna, Demichelis, Kompany, Clichy, Milner, Lampard/Fernandinho dk 28, Fernando/Toure dk60, Navas, Silva/Jovetic dk70 na Aguero. 
    Tottenham: Lloris, Dier, Fazio, Kaboul, Rose, Capoue/Dembele dk60, Mason/Vertonghen dk70, Chadli, Eriksen, Lamela/Townsend dk60 na Soldado. 

    Sergio Aguero amefunga mabao yote manne Mancehster City ikiichapa 4-1 Tottenham
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YAILAZA 4-1 SPURS, AGUERO APIGA ZOTE MBILI ZA PENALTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top