• HABARI MPYA

    Thursday, October 02, 2014

    AZAM VETERANS YAPIGA MTU NNE MECHI YA KUJARIBU TAA MPYA CHAMAZI

    AZAM Veterans jana imeifunga mabao 4-3 Mbade FC katika mchezo maalum wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
    Mechi hiyo iliandaliwa na Azam TV kwa ajili ya kujaribu taa mpya zilizofungwa kwenye Uwanja huo ambao unatumiwa na kikosi cha kwanza cha Azam FC kwa mechi zake za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
    Mabao ya Azam Veterans katika mchezo huo yamefungwa na Khalfan Khalfan na Abdulkarim Amin ‘Popat’ kila mmoja mawili. 
    Kikosi cha Azam Veterans; Picha ya Maktaba
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM VETERANS YAPIGA MTU NNE MECHI YA KUJARIBU TAA MPYA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top