• HABARI MPYA

    Wednesday, August 13, 2014

    KIPENZI CHA WANA SIMBA SC, PATRICK PHIRI ALIPOWASILI DAR LEO KUREJESHA ENZI ZA UFALME MSIMBAZI

    Kocha mpya wa Simba SC, Patrick Phiri akiwapungia mikono mashabiki wa timu hiyo baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam mchana wa leo tayari kusaini Mkataba wa kurithi mikoba ya Mcroatia, Zdravko Logarusic aliyevunjiwa Mkataba mwishoni mwa wiki.
    Kocha Phiri amerejea Msimbazi baada ya miaka minne

    Anazungumza na Waandishi wa Habari

    Amepokewa kwa mashada ya maua

    Amepokewa kwa matarumbeta

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIPENZI CHA WANA SIMBA SC, PATRICK PHIRI ALIPOWASILI DAR LEO KUREJESHA ENZI ZA UFALME MSIMBAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top