Na Prince Akbar, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Kamati ya Mashindano ya Kimataifa ya klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam, Seif Ahmed ‘Magari’ amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati mechi dhidi ya Komorozine ya Comoro.
Yanga SC itamenyana na timu hiyo kesho kuanzia Saa 10:00 jioni katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Seif Magari amesema wana Yanga hawapaswi kuidharau timu hiyo kwa kuwa soka ya Comoro hivi sasa imebadilika.

![]() |
Weweee, soka ya Comoro imebadilika; Seif amewataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kesho kuishangilia timu yao dhidi ya Komorozine
|

.png)
0 comments:
Post a Comment