• HABARI MPYA

    Friday, February 07, 2014

    KIJANA WA KCC ANAPOONYESHA KIPAJI CHA SARAKASI

    Kipaji; Mwanasarakasi Deus Edward (18) wa Kundi la Kigamboni Community Centre (KCC) akiburudisha wakati hafla ya uzinduzi wa kampeni ya 'Care for Me' (Nijali na Mimi) iliyofanyika kwenye Kijiji cha Watoto cha Taasisi ya SOS mijini Dar es Salaam mchana wa leo. Kituo hicho kinalea watoto yatima na wa mitaani. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIJANA WA KCC ANAPOONYESHA KIPAJI CHA SARAKASI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top