![]() |
| Rmadhani Singano 'Messi' wa Simba SC akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mtibwa Sugar, Hassan Ramadhani |
![]() |
| Messi na Hassan |
![]() |
| Messi akipambana kuwatoka mabeki wa Mtibwa Sugar |
![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Ali Badru akiwatoka mabeki wa Mtibwa Sugar |
![]() |
| Kocha wa Mtibwa Sugar, Meck Mexime aliyeipa mgongo kamera akimtuliza Nahodha wake, Shaaban Nditi baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo huo |
![]() |
| Beki wa Mtibwa Sugar, Juma Mpakala kushoto akipambana na mshambuliaji wa Simba SC, Ali Badru |
![]() |
| Haroun Chanongo wa Simba SC kulia akigombea mpira na Jamal Mnyate wa Mtibwa Sugar |
![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Salvatory Ntebe, huku Messi akiwa tayari kutoa msaada |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude akimtoka kiungo wa Mtibwa Shaaban Kisiga |
![]() |
| Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Juma Luizio akipasua katikati ya wachezaji wa Simba SC, Haroun Chanongo kulia na Jonas Mkude kushoto |
![]() |
| 11 walioanza Mtibwa Sugar leo |
![]() |
| 11 wa Simba SC walioanza leo |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera kulia akiwasalimi wachezaji wa Simba SC kabla ya mechi. Hapa amepeana mikono na beki Joseph Owino. Katikati ni Messi na kushoto Donald Mosoti |
![]() |
| Wakubwa; Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kulia ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili na Ibrahim Masoud 'Maestro' wakifuatilia mchezo huo |

















.png)
0 comments:
Post a Comment