• HABARI MPYA

    Wednesday, February 05, 2014

    LOGARUSIC ALITIA HURUMA SANA LEO UWANJA JAMHURI

    Kocha wa Simba SC, Zdravko Logarusic leo 'alichanganyikiwa' Uwanja wa Jamhuri, Morogoro kutokana na mechi dhidi ya Mtibwa Sugar Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ilivyokuwa ngumu hadi kumalizika kwa sare 1-1 timu yake ikitoka nyuma kwa 1-0. 
    Anacheza na pua yake hapa
    Anatoa maelekezo kwa Jonas Mkude
    Mikono kiunoni hapa
    Hapa nyuma ya benchi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LOGARUSIC ALITIA HURUMA SANA LEO UWANJA JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top