• HABARI MPYA

    Tuesday, February 04, 2014

    BALOTELLI JAMANI KWELI 'MWEHU', HEBU ANGALIA ALIVYONYOA KAMA...

    MSHAMBULIAJI wa AC Milan, Mario Balotelli amepamba vichwa vya habari tena baada ya kuibuka na mtindo mpya wa unyoaji kichwani.
    Mshambuliaji huyo wa Italia jana usiku aliposti picha za mnyoo wake mpya katika akaunti yake ya Twitter.
    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 ameonekana wa kipekee kwa mnyoo huo hatari. "Nimemaliza kunyoa, sasa naenda zangu kulala," hayo ndiyo maneno yaliyoambatana na picha hizo.
    Inaitwaje hii: Mario Balotelli ameweka kwenye akaunti yake ya Twitter jana usiku picha hii ya mtindo wake mpya unyoajiEye-catching: Balotelli has gone for a hairdo combination of a mohawk and a asymmetrical pattern
    Balotelli katika mtindo mpya wa nywele
    All smiles: Balotelli (pictured) has been one of AC Milan's star performers since joining the club last season
    Sight for sore eyes: Balotelli (pictured) has had many interesting haircuts in his career to date
    Balotelli amewahi kuweka mitindo hii ya nywele hapo kabla
    Talisman: Balotelli (pictured) has been an influential figure for both AC Milan and Italy
    Divisive character: Balotelli (pictured) endured a turbulent time at former club Manchester City
    Mitindo mingine ya nywele ya Balotelli hapo awali
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALOTELLI JAMANI KWELI 'MWEHU', HEBU ANGALIA ALIVYONYOA KAMA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top