
Mashabiki wa Simba wameshinda katika michezo yote ya Bonanza ililofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege Morogoro jana, katika michezo hiyo, walishinda mechi ya kwanza ambapo waliibuka washindi kwa kuwafunga mashabiki wav Yanga mabao 2-1 kwa mikwaju ya penalti, mabao ya Simba SC yalifungwa na Josephat Matiko na Omary Masho, wakati la Yanga lilifungwa na Halfan Semika.
Mashabiki wa Simba wameshinda katika michezo yote ya Bonanza ililofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege Morogoro jana, katika michezo hiyo, walishinda mechi ya kwanza ambapo waliibuka washindi kwa kuwafunga mashabiki wav Yanga magoli mawili kwa moja
Katika mechi ya pili Simba waendseleza ubabe baada ya kuwafunga tena Yanga kwa magoli manne kwa matatu ambapo magli ya Simba yalifunga na, Isihaka Pedo alifunga mawili la kwanza lilipatikana katika dakika ya saba ya mchezo kipindi cha kwanza na la pili lilifungwa na huyohuyo dakika ya kumi na tisa, ambapo magoli mawili mengine yalifungwa na, Majidi Mussa kwedakika ya 30 na 41 kipindi cha pili ambapo magoli ya Yanga yalifungwa na Omary Chipo, Omary Said na Mapunda Cheche.
Pia Simba waliendeleza ushindi kwa kuwatesa wapinzani wao kwa kuwazidi nguvu katika uvutaji kamba na hata kukimbiza kuku pia simba walishinda.
.jpg)

.jpg)
.jpg)


.png)
0 comments:
Post a Comment