• HABARI MPYA

    Tuesday, November 19, 2013

    AIRTEL TANZANIA YALETA PROMOSHENI YA MASHABIKI NCHINI KWENDA KUSHUHUDIA MECHI ZA MAN UNITED UINGEREZA

    Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akimkabidhi jezi maalum kutoka klabu ya Manchester United ya England, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi baada ya uzinduzi wa promosheni ya Mimi ni Bingwa, ambayo itawawezesha watumiani wa mtandao wa Airtel kujishindia safri za kwenda kushuhudia mechi za klabu hiyo moja kwa moja nchini England. Hafla hiyo ya uzinduzi wa ushirikiano wa Man United na Airtel Tanzania ilifanyika hoteli ya Hyatt Regency, zamani Kilimanjaro Kempinsky, Dar es Salaam.  

    Mkurugenzi wa Michezo, Leonard Thadeo naye pia alipewa jezi hiyo yenye saini ya mshambuliaji wa Man United, Wayne Rooney

    Thadeo akimnong'oneza jambo Malinzi

    Malinzi alitoa hotuba fupi na kuishukuru Airtel kwa mchango wake kwa maendeleo ya soka Tanzania, akitolea mfano timu ya vijana ya wanawake chini ya umri wa miaka 20, kwamba ni matunda ya mashindano ya Airtel Rising Stars 

    Meneja Uhusiano wa Manchester United, Michael Higham alitoa hotuba fupi

    Meza kuu

    BIN ZUBEIRY alifanya mahojiano maalum na Higham

    Malinzi akiwa na kiatu chenye saini ya Rooney

    Vijana walitoa burudani

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AIRTEL TANZANIA YALETA PROMOSHENI YA MASHABIKI NCHINI KWENDA KUSHUHUDIA MECHI ZA MAN UNITED UINGEREZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top