Kipa mkongwe, Juma Kaseja wa KMC akiwa kwenye Kozi ya Ukocha ya Diploma C ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) iliyoanza leo makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Uwanja wa Karume, Ilala mjini Dar es Salaam. Kozi hiyo ya siku 28 inashirikisha Makocha 30
Beki wa zamani wa Simba na timu ya taifa, Boniphace Pawasa naye pia anashiriki kozi hiyo


0 comments:
Post a Comment